TUMA imejizatiti kukupatia huduma za kuaminika za usafirishaji wa vifurushi kutoka Dar es Salaam na kwenda miji/majiji mingine nchini Tanzania. Ni wakati wa wauzaji wa mitandaoni kuongeza mauzi yaona kukuza bihashara..